Sura 10, Sehemu 1 · Art. 161
Afisi na Maafisa wa Mahakama
- Mahakama ina majaji wa mahakama za mamlaka kuu, mahakimu, maafisa wengine wa mahakama na wafanyakazi.
Art. 161(1)
(1) Mahakama inahusisha majaji wa mahakama za mamlaka ya juu, mahakimu na maafisa wengine wa idara ya Mahakama.
Soma kifungu kamili → - Kuna Jaji Mkuu (Mkuu wa Mahakama), Naibu Jaji Mkuu, na Msajili Mkuu.
Art. 161(2)
(2) Kutabuniwa afisi ya- (a) Jaji Mkuu, atakayekuwa Mkuu wa Mahakama; (b) Naibu Jaji Mkuu, atakayekuwa Naibu Mkuu wa Mahakama; (c) Msajili Mkuu wa Idara ya Mahakama ambaye ni msimamizi mkuu wa kiutawala na afisa wa uhasibu wa Idara ya Mahakama.
Soma kifungu kamili →
- Mahakama ina majaji, mahakimu na maafisa wengine, wakiongozwa na Jaji Mkuu.
Art. 161(1)
(1) Mahakama inahusisha majaji wa mahakama za mamlaka ya juu, mahakimu na maafisa wengine wa idara ya Mahakama.
Soma kifungu kamili →