Sura 10, Sehemu 2 · Art. 164
Mahakama ya Rufani
- Mahakama ya Rufaa inaundwa na majaji wasiopungua kumi na wawili.
Art. 164(1)
(1) Kutabuniwa Mahakama ya Rufaa, ambayo – (a) itakuwa na idadi ya majaji ambao hawatapungua kumi na wawili kulingana na sheria za bunge; na (b) inaundwa na kusimamiwa kulingana na ufafanuzi wa Sheria ya Bunge.
Soma kifungu kamili → - Inasikiliza rufaa kutoka Mahakama Kuu na mahakama au baraza lingine lolote linalowekwa na Sheria ya Bunge.
Art. 164(3)
(3) Mahakama ya Rufaa ina mamlaka ya kusikiza rufaa kutoka – (a) Mahakama Kuu; na (b) mahakama nyingine au mahakama maalum kulingana na Sheria ya Bunge.
Soma kifungu kamili →
- Mahakama ya Rufaa husikiliza rufaa kutoka Mahakama Kuu.
Art. 164(3)
(3) Mahakama ya Rufaa ina mamlaka ya kusikiza rufaa kutoka – (a) Mahakama Kuu; na (b) mahakama nyingine au mahakama maalum kulingana na Sheria ya Bunge.
Soma kifungu kamili →