Sura 11, Sehemu 2 · Art. 180
Uchaguzi wa gavana wa kaunti na naibu wa gavana wa kaunti
- Gavana wa kaunti huchaguliwa moja kwa moja na wapiga kura waliojiandikishwa katika kaunti, Jumanne ya pili ya Agosti kila mwaka wa tano.
Art. 180(1)
(1) Gavana wa kaunti atachaguliwa moja kwa moja na wapiga kura waliosajiliwa katika kaunti hiyo, siku ile ya uchaguzi mkuu wa wabunge, itakayokuwa Jumanne ya pili ya mwezi Agosti, baada ya kila miaka mitano.
Soma kifungu kamili → - Kila mgombea wa ugavana humteua mwenzake kama mgombea wa naibu gavana.
Art. 180(5)
(5) Kila mgombea kiti cha gavana wa kaunti atamteua mtu mmoja ambaye amehitimu kuchaguliwa kama gavana wa kaunti kuwa mgombea kiti cha naibu gavana.
Soma kifungu kamili → - Mtu hawezi kuwa gavana wa kaunti kwa vipindi zaidi ya viwili.
Art. 180(7)(a)
(7) Kwa mujibu wa ibara ya (7), mtu ambaye hajaingia afisi ya gavana wa kaunti atachukuliwa kuwa amehudumu kwa kipindi kizima, kwa mujibu wa kifungu cha 182 (3) (b).
Soma kifungu kamili →
- Wapiga kura huchagua gavana wa kaunti yao kila baada ya miaka mitano, na gavana huhudumu vipindi viwili pekee.
Art. 180(7)(a)
(7) Kwa mujibu wa ibara ya (7), mtu ambaye hajaingia afisi ya gavana wa kaunti atachukuliwa kuwa amehudumu kwa kipindi kizima, kwa mujibu wa kifungu cha 182 (3) (b).
Soma kifungu kamili →