Sura 11, Sehemu 3 · Art. 186
Mamlaka na Majukumu mahususi ya serikali za kaunti na kitaifa
- Majukumu na mamlaka ya serikali ya kitaifa na za kaunti yamewekwa katika Mpangilio wa Nne.
Art. 186(1)
(1 ) Isipokuwa kama ilivyotajwa katika Katiba hii, mamlaka na majukumu ya Serikali ya taifa na zile za kaunti, mtawalia,ni kama yalivyoelezwa katika Mpangilio wa Nne (2) Jukumu linalopatikana katika zaidi ya ngazi moja ya Serikali ni jukumu lililo katika eneo zaidi ya moja la utawala la ngazi hizo za Serikali. (3) Jukumu ambalo halijatolewa na Katiba hii au na sheria ya taifa kwa kaunti, ni jukumu ya Serikali ya taifa. (4) Kuwa yakini zaidi, bunge litatunga sheria ya Jamhuri katika suala lolote.
Soma kifungu kamili → - Jukumu au mamlaka ambayo hayajapewa kaunti ni jukumu au mamlaka ya serikali ya kitaifa.
Art. 186(3)
(3) Jukumu ambalo halijatolewa na Katiba hii au na sheria ya taifa kwa kaunti, ni jukumu ya Serikali ya taifa.
Soma kifungu kamili → - Bunge linaweza kutunga sheria kwa Jamhuri kuhusu jambo lolote.
Art. 186(4)
(4) Kuwa yakini zaidi, bunge litatunga sheria ya Jamhuri katika suala lolote.
Soma kifungu kamili →
- Mpangilio wa Nne huorodhesha kile serikali ya kitaifa na kaunti kila mmoja hufanya.