Sura 12, Sehemu 3 · Art. 209
Mamlaka ya Kutoza Kodi na Ushuru
- Ni serikali ya kitaifa pekee inayoweza kutoza kodi ya mapato, VAT, ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa.
Art. 209(1)
(1) Ni serikali ya kitaifa pekee ambayo imepewa uwezo wa kutoza- (a) kodi ya mapato; (b) ushuru wa thamani; (c) ushuru wa forodha na kodi nyingine katika bidhaa zinazoingizwa na kuuzwa nje ya nchi.; na (d) mapato ya ushuru.
Soma kifungu kamili → - Kaunti inaweza kutoza ada za mali, kodi za burudani na kodi nyingine yoyote inayoruhusiwa na Sheria ya Bunge.
Art. 209(3)
(3) Serikali ya kaunti inaweza kutoza:- (a) ushuru kwa mali; (b) kodi za burudani; na (c) na kodi nyingine yoyote ambayo imeruhusiwa na Sheria ya Bunge.
Soma kifungu kamili → - Serikali ya kitaifa na za kaunti zinaweza kutoza ada kwa huduma.
Art. 209(4)
(4) Serikali ya kitaifa na serikali za kaunti zinaweza kutoza ushuru wa huduma.
Soma kifungu kamili →
- Serikali ya kitaifa hukusanya kodi ya mapato na VAT; kaunti hukusanya ada za mali na kodi za burudani.