Art. 25
Haki na Uhuru Usioweza Kuwekewa Mipaka
- Haki zingine haziwezi kuondolewa kamwe, hata katika dharura.
Art. 25
Licha ya sharti lolote lingine katika Katiba hii, hakutakuwa na mipaka dhidi ya haki na uhuru wa kimsingi ufuatao- (a) uhuru dhidi ya mateso, unyanyasaji au adhabu zilizokiuka ubinadamu; (b) uhuru dhidi ya utumwa; (c) haki kwenye kesi ; na (d) haki ya kuitikia amri ya kufikishwa mahakamani.
Soma kifungu kamili → - Hakuna anayeruhusiwa kukutesa au kukutenda kikatili kamwe.
Art. 25(a)
Licha ya sharti lolote lingine katika Katiba hii, hakutakuwa na mipaka dhidi ya haki na uhuru wa kimsingi ufuatao- (a) uhuru dhidi ya mateso, unyanyasaji au adhabu zilizokiuka ubinadamu; (b) uhuru dhidi ya utumwa; (c) haki kwenye kesi ; na (d) haki ya kuitikia amri ya kufikishwa mahakamani.
Soma kifungu kamili →