Art. 29
Uhuru na usalama wa mtu
- Hakuna anayeruhusiwa kukudhuru au kukutenda vibaya — si mtu mzima, si mtu yeyote.
Art. 29(c)
Kila mtu ana haki ya uhuru na usalama wake unaohusisha haki ya- (a) kutonyimwa uhuru kiholela bila sababu; (b) kutozuiliwa bila kushtakiwa mahakamani, isipokuwa wakati wa hali ya hatari ambapo kifungo cha aina hiyo kinaelezwa katika Kifungu cha 58; (c) kuwa huru dhidi ya aina zote za ghasia kutoka kwa umma au watu binafsi; (d) kutoteswa kwa njia yoyote ile, iwe ya kimwili au kiakili; (e) kutopewa adhabu ya viboko; au (f) kutotendewa au kupewa adhabu za kikatili, kudhalilisha au kushusha hadhi ya ubinadamu.
Soma kifungu kamili → - Hakuna anayeweza kukufunga bila sababu.
Art. 29(a)
Kila mtu ana haki ya uhuru na usalama wake unaohusisha haki ya- (a) kutonyimwa uhuru kiholela bila sababu; (b) kutozuiliwa bila kushtakiwa mahakamani, isipokuwa wakati wa hali ya hatari ambapo kifungo cha aina hiyo kinaelezwa katika Kifungu cha 58; (c) kuwa huru dhidi ya aina zote za ghasia kutoka kwa umma au watu binafsi; (d) kutoteswa kwa njia yoyote ile, iwe ya kimwili au kiakili; (e) kutopewa adhabu ya viboko; au (f) kutotendewa au kupewa adhabu za kikatili, kudhalilisha au kushusha hadhi ya ubinadamu.
Soma kifungu kamili →