Art. 31
Faragha
- Nyumba yako na vitu vyako ni vyako. Watu wanapaswa kuuliza kabla ya kuvichunguza.
Art. 31(a)
Kila mtu ana haki ya faragha yake, inayohusisha haki ya- (a) kutosakwa yeye mwenyewe, makao yake au mali yake; (b) mali kutonyakuliwa; (c) habari kuhusu familia au masuala ya kibinafsi ambayo hayahitajiki au kufichuliwa pasi na umuhimu wowote; (d) faragha ya mawasiliano yao kutoingiliwa.
Soma kifungu kamili → - Jumbe zako ni za faragha. Hakuna anayepaswa kuzisoma bila sababu nzuri.
Art. 31(d)
Kila mtu ana haki ya faragha yake, inayohusisha haki ya- (a) kutosakwa yeye mwenyewe, makao yake au mali yake; (b) mali kutonyakuliwa; (c) habari kuhusu familia au masuala ya kibinafsi ambayo hayahitajiki au kufichuliwa pasi na umuhimu wowote; (d) faragha ya mawasiliano yao kutoingiliwa.
Soma kifungu kamili →