Art. 54
Watu Wenye Ulemavu
- Watoto wenye ulemavu wanaweza kwenda shule na kushiriki katika kila kitu.
Art. 54(1)(b)
(b) kupata elimu katika taasisi za elimu na vifaa vya watu wenye ulemavu vilivyofungamanishwa na jamii kwa minajili ya maslahi yao;
Soma kifungu kamili → - Kila mtu anapaswa kuweza kutembea na kutumia maeneo kwa urahisi.
Art. 54(1)(c)
(c) kufikia ipasavyo sehemu zote zinazofikwa na umma, usafiri wa umma na habari na mawasiliano;
Soma kifungu kamili →