Art. 57
Wazee katika jamii
- Wazee wanapaswa kuheshimiwa, kutunzwa, na hawapaswi kudhuriwa.
Art. 57(c)
(1) Serikali itachukua hatua kuhakikisha kuwa haki za wazee- (a) kushiriki kikamilifu katika masuala ya jamii; (b) kutafuta maendeleo ya kibinafsi; (c) kuishi kwa hadhi na heshima na kuwa huru dhidi ya dhuluma; (d) kupata malezi ya kufaa na msaada kutoka kwa familia zao na Serikali.
Soma kifungu kamili →