Art. 109
Matumizi ya Mamlaka ya kutunga sheria
- Bunge hutunga sheria kwa kupitisha Miswada, na Rais anasaini.
Art. 109(1)
(1) Bunge litatumia mamlaka yake ya kutunga sheria kupitia kwa Miswada itakayopitishwa Bungeni na kutiwa saini na Rais.
Soma kifungu kamili →