Art. 113
Kamati za Upatanishi
- Kikundi maalum cha wajumbe sawa kutoka mabaraza yote kinajaribu kukubaliana; wakishindwa, Mswada unashindwa.
Art. 113(1)
(1) Iwapo Mswada utapelekwa kwa kamati ya upatanishi chini ya Kifungu cha 112, Maspika wa Mabunge yote mawili watateua kamati ya upatanishi itakayohusisha idadi sawa ya wanachama wa Mabunge yote mawili ili kujaribu kutengeneza toleo jingine la Mswada litakalokubalika na Mabunge yote mawili.
Soma kifungu kamili →