Art. 120
Lugha rasmi za Bunge
- Bungeni, watu wanaweza kutumia Kiswahili, Kiingereza au lugha ya ishara ya Kenya.
Art. 120(1)
(1) Lugha rasmi za Bunge zitakuwa Kiswahili, Kiingereza na lugha ya ishara na shughuli za Bunge zinaweza kuendelezwa kwa Kiingereza, Kiswahili na lugha ya ishara ya Kenya.
Soma kifungu kamili →