Art. 150
Kuondolewa kwa Naibu wa rais
- Naibu wa Rais anaweza kuondolewa kama vile Rais.
Art. 150(2)
(2) Sheria katika Vifungu vya 144 na 145 vinavyohusiana na kuondolewa mamlakani kwa Rais, kukiwa na mabadiliko yanayostahili, itatumika katika kumuondoa Naibu wa rais.
Soma kifungu kamili →