Art. 154
Katibu wa Baraza la Mawaziri
- Katibu huweka kumbukumbu za Baraza la Mawaziri na kupeleka maamuzi.
Art. 154(3)
(3) Katibu katika Baraza la Mawaziri- (a) atakuwa na madaraka ya afisi ya Baraza la Mawaziri; (b) atawajibika kulingana na maelekezo ya Baraza la Mawaziri, kwa kupanga shughuli na kuweka kumbukumbu za mikutano ya Baraza la Mawaziri; (c) atawasilisha uamuzi wa Baraza la Mawaziri kwa watu au mamlaka zinazofaa; na (c) atakuwa na majukumu kama itakavyoagizwa na Baraza la Mawaziri.
Soma kifungu kamili →