Art. 167
Kipindi cha kudumu afisini kwa Jaji Mkuu na majaji wengine
- Majaji hufanya kazi hadi wawe na miaka 70, au wanaweza kustaafu mapema baada ya 65.
Art. 167(1)
(1) Jaji atastaafu kutoka afisini atakapofikisha umri wa miaka sabini, lakini anaweza kuamua kustaafu wakati wowote baada ya kufikisha miaka sitini na tano.
Soma kifungu kamili →