Art. 169
Subordinate courts
- Chini ya Mahakama Kuu kuna mahakama za mahakimu, za Kadhi na za kijeshi.
Art. 169(1)
(1) Mahakama saidizi ni – (a) Mahakama za Mahakimu; (b) Mahakama za Kadhi; (c) Mahakama ya Kijeshi; na (d) Mahakama yoyote nyingine au mahakama maalum kama inavyoweza kubuniwa kwa Sheria ya Bunge, isipokuwa mahakama zilizobuniwa kwa mujibu wa kifungu cha 162 (2).
Soma kifungu kamili →