Art. 204
Hazina ya Usawazishaji
- Mfuko maalum husaidia kuleta huduma za msingi kama maji na barabara kwenye maeneo maskini.
Art. 204(2)
(2) Serikali ya kitaifa itatumia hazina ya kusawazisha kutoa huduma za kimsingi zikiwa ni pamoja na maji, barabara, matibabu na umeme katika maeneo yaliyotengwa hadi kiwango kitakachoboresha huduma hizo katika maeneo hayo kiwe sawa na kiwango kilicho maeneo mengine, iwezakanavyo.
Soma kifungu kamili →