Art. 217
Mgao Unaolingana wa Mapato
- Kila baada ya miaka mitano, Seneti huamua jinsi fedha za kitaifa zinagawanywa kati ya kaunti.
Art. 217(1)
(1) Mara moja baada ya kila miaka mitano, Baraza la Seneti litatoa mapendekezo kuhusu misingi ya kutumiwa katika ugavi wa mapato ya kitaifa yanayogawiwa kila serikali ya kaunti kila mwaka.
Soma kifungu kamili →