Art. 221
Mswada wa Makadirio ya Bajeti na Matumizi ya Mwaka
- Kila mwaka, waziri wa fedha huwasilisha bajeti Bungeni, ambalo huipitia na kuidhinisha matumizi.
Art. 221(1)
(1) Kwa kipindi kisichopungua miezi miwili kabla ya kukamilika kwa kila mwaka wa kifedha, waziri anayehusika na fedha, atawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka ufuatao wa fedha kwa Baraza la Kitaifa.
Soma kifungu kamili →