Art. 224
Miswada ya Matumizi ya fedha za Kaunti
- Kila kaunti hufanya bajeti yake kulingana na fedha inazopewa.
Art. 224
Katika misingi ya mswada wa mgao wa mapato uliopitishwa na Bunge chini ya kifungu cha 218, kila serikali ya kaunti itaandaa na kutumia bajeti yake ya mwaka wa matumizi ya fedha, jinsi ulivyoandikwa katika misingi na utaratibu uliowekwa na sheria ya Bunge.
Soma kifungu kamili →