Art. 253
Ushirikishwaji wa tume na afisi huru
- Kila tume ni chombo chake cha kisheria kinachoweza kushtakiwa au kushtaki.
Art. 253
Kila tume na afisi huru- (a) ni asasi shirikishi iliyo na msururu wa urithi na muhuri wake; na (b) inaweza kushtaki na kushtakiwa katika jina lake la kiushirika.
Soma kifungu kamili →