Art. 82
Sheria kuhusu uchaguzi
- Upigaji kura unapaswa kuwa rahisi, wazi, na wa kila mtu, ikiwemo watu wenye ulemavu.
Art. 82(2)
(2) Sheria inayotakikana na ibara ya (1) (d) itahakikisha kwamba upigaji kura katika kila uchaguzi ni- (a) rahisi; (b) wazi; na (c) inazingatia mahitaji maalumu ya- (i) watu wenye ulemavu; na (ii) watu wengine ama vikundi vya watu walio na mahitaji maalumu.
Soma kifungu kamili →