Art. 136
Uchaguzi wa Rais
- Rais huchaguliwa na wapiga kura wote katika uchaguzi wa kitaifa.
Art. 136(1)
(1) Rais atachaguliwa na wapigakura waliosajiliwa katika uchaguzi wa kitaifa utakaoendeshwa kwa mujibu wa Katiba hii na Sheria nyingine yoyote ya Bunge inayothibiti uchaguzi wa Rais.
Soma kifungu kamili →