Art. 209
Mamlaka ya Kutoza Kodi na Ushuru
- Serikali ya kitaifa hukusanya kodi ya mapato na VAT; kaunti hukusanya ada za mali na kodi za burudani.
Art. 209(1)
(1) Ni serikali ya kitaifa pekee ambayo imepewa uwezo wa kutoza- (a) kodi ya mapato; (b) ushuru wa thamani; (c) ushuru wa forodha na kodi nyingine katika bidhaa zinazoingizwa na kuuzwa nje ya nchi.; na (d) mapato ya ushuru.
Soma kifungu kamili →